The House of Favourite Newspapers

Lissu Aondoka nchini, Atoa Kauli Hii – Video

0

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameondoka nchini Tanzania na kuelekea nchini Ubelgiji leo Jumanne, Novemba 10, 2020 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Ikumbukwe kuwa, tangu Novemba 2, mwaka huu, Lissu alikuwa akiishi katika Ubalozi wa Ujerumani kwa madai kuwa hakuwa salama nyumbani kwake.

Akiwa katika Uwanja huo, Lissu amesema “Sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu.”

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Leave A Reply