The House of Favourite Newspapers

Simba SC Kufanya Uchaguzi wa Mwenyekiti

0

KLABU ya soka ya Simba leo Februari 06, wameitisha mkutano na wanahabari kuzungumzia mchakato wa uchaguzi wa kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu hiyo utakaofanyika kesho Feb.7

Wagombea wawili ndio watachuana kesho ambao ni Murtaza Mangungu na Juma Nkamia

Leave A Reply