The House of Favourite Newspapers

Makonda Amtakia Matibabu Mema Ahmed Albaity Huko China (Video+Picha)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia) akiongea na waandishi wa habari uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam leo wakati wa kumuaga Ahmedy Albaity  (wa pili kulia) aliyeondoka kwenda kutibiwa China tatizo la uti wa mgongo ambalo limemsumbua kwa miaka mingi.
…Akisisitiza jambo.
Mmoja wa wadau (kulia) waliomsaidia Albaity katika matibabu yake akiongea wakati wa kumuaga.

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo amemtakia matibabu mema mwananchi Ahmed Albaity anayekwenda China kutibiwa tatizo la uti wa mgongo ambalo amekuwa nalo kwa takribani miaka kumi akiwa kitandani. Makonda ameyasema hayo wakati akimsindikiza uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

(STORI NA DENIS MTIMA/GPL)

Comments are closed.