The House of Favourite Newspapers

LIVE: BALAA LA CHRISTIAN BELLA STEJINI DAR LIVE – VIDEO

KILA ifikapo Desemba 25, wakristo wote duniani wanasheherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo ambayo huitwa Krismas.

Sasa mwaka huu ukumbi wa Taifa wa Burudani uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam unaoitwa (DAR LIVE) ukaamua kuisindikiza sherehe hiyo kwa kuwaandalia bonge moja la burudani kutoka kwa First Classic Modern Taarab inayoongozwa na Prince Amigo, pembeni wakamuweka Virus Mdudu mkali wa singeli Bongo, na mwisho maangamizi yakafanywa na Christian Bella mfalme wa Masauti akiwa na Bendi yake ya Malaika Music Band.

Comments are closed.