The House of Favourite Newspapers

Haji Manara: Timu Samatta na Timu Alikiba Kukiwasha Uwanja wa Mkapa Juni 18 -Video

0

HAPATOSHI Juni 18, 2022 katika Uwanja wa Mkapa uliopo jijini Dar wakati vikosi vya Timu Samatta na Timu Alikiba vitakapomenyana katika mchezo wa hisani wa SamaKiba Foundation.

Msemaji wa timu hizo Haji Manara leo Juni 6, 2022 ameongea na wanahabari katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam amesema Mchezo huo una lengo la kukusanya mapato na kuzisaidia jamii zenye uhitaji ambapo msimu huu wamelenga Alikiba na Samatta watalieleza hapo baadae.

Wapenda michezo nchini wameombwa kuwaunga mkono SamaKiba Foundation.

 

Leave A Reply