The House of Favourite Newspapers

LIVE: HARMONIZE Alivyomwaga Misaada kwa Walemavu – VIDEO

Mkali wa Bongo Fleva, Harmonize, leo amefungua mwaka mpya vizuri kwa kutoa misaada ya baskeli kwa walemavu pamoja na pesa za kujikimu kama sehemu ya shukrani kwa wanavyomsapoti kazi zake za muziki.

Harmonize ametoa jumla ya baiskeli zisizopungua 26 kwa walemavu maeneo ya Kariakoo, Gongo la Mboto na Vingunguti jijini Dar ambapo amesema kwa mujibu wa dini yake ya kiislamu inamtaka kutoa sehemu ya mali zake kusaidia wasiojiweza.

Comments are closed.