The House of Favourite Newspapers

LIVE: HAYA NDIYO MAAJABU YA UJENZI WA FLYOVERS YA TAZARA NA UBUNGO

TAZAMA maajabu ya ujenzi wa barabara za juu (flyovers) kwenye makutano ya barabara za Nyerere na Mandela eneo la Tazara, Buguruni, na jinsi daraja la kuvukia watu linavyotumika katika kuingia na kutoka Kituo cha Mabasi ya Mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam.

Global TV Online imeutembelea mradi huo ambao upo kwenye hatua za mwisho, nakujionea hatua uliofikia, ambapo unatarajiwa kukamilika nakuzinduliwa ndani ya mwaka huu.

Comments are closed.