The House of Favourite Newspapers

Live Ikulu: Zuhura Yunus na Mawaziri Wanazungumzia Matokeo ya Royal Tour ya Rais Samia-Video

0

MKURUGENZI wa Mawasiliano Ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus, leo Juni 28, 2022 amezungumza na wanahabari kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Oman pamoja na matokeo ya Filamu ya The Royal Tour katika Ukumbi Wa Jakaya Kikwete – Ikulu jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply