The House of Favourite Newspapers

Mjue Patrice Hemery Lumumba – Mwanaharakati Aliyeuawa Kikatili, Maiti Yake Ilikatwa Katwa-Video

0


ALIYEKUWA Gwiji wa Muziki wa Dansi nchini Tanzania Marehemu Marijan Raajab amewahi kuimba nyimbo mbalimbali zenye ujumbe unaoishi kimaudhui hadi sasa!

Aliwahi kuimba namna Wema na Mashujaa walivyokosa umri mrefu wa kuishi.

Alikadhalika, aliimba namna watu walioitwa Makatili walivyokuwa na moyo wa sawa na Mnyama.

Leave A Reply