The House of Favourite Newspapers

VIDEO: WALIOFUTIWA KITALU WAMWAMBIA KIGWANGALA ‘HATUKUBALI’

KAMPUNI ya uwindaji ya Green Miles Safari Company leo Alhamisi, Agosti 8, 2019,  imeongea na wanahabari katika hoteli ya Wanyama Sinza-Mori jijini Dar es Salaam na kukanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa hawajapata taarifa rasmi kutoka serikalini kuwafutia umiliki wa kitalu cha uwindaji wa kitalii cha Lake Natron East.

Kauli hiyo inafuatia  uamuzi wa Waziri wa Utalii na Maliasili nchini Tanzania Dkt. Hamis Kigwangala, ya kuwafutia umiliki wa kitalu hicho cha uwindaji tangu jana Agosti 8. 2019.

 

Comments are closed.