Live: Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Karume Day

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Suluhu Samia ameungana na viongozi wengine pamoja na wananchi mbalimbali katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (#KarumeDay) kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kisiwandui Zanzibar.

Toa comment