Video: Miili Ya Watu 5 Wa Famili Moja Yaagwa Leo Dar

WATU watano wa familia moja akiwemo mama, watoto wake watatu na wifi yake, waliopoteza maisha baada ya nyumba yao kuwaka moto majira ya saa nne usiku wa kuamkia Oktoba 14, 2020  katika eneo la Pugu CCM Kirumba jijini Dar  wameagwa leo Oktoba 17, 2020 Pugu.

 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Toa comment