The House of Favourite Newspapers

LIVE: Maswali ya Lema na Mbowe kwa Waziri Mkuu Majaliwa

0

DODOMA: Mkutano wa Saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linenendelea mjini Dodoma ambapo kikao cha asubuhi hii ni maswali ya papo kwa papo ya wabunge kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Global TV Online inakuletea kipindi hicho moja kwa moja (MUBASHARA) kupitia YouTube Channel yetu.

BOFYA PLAY HAPO USIKILIZE

Leave A Reply