The House of Favourite Newspapers

LIVE: Msemaji wa Serikali Akizungumzia Miaka 3 ya JPM – Video

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, anatoa taarifa ya mambo muhimu yaliyotekelezwa na serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais, Dkt John Magufuli ambaye leo Novemba 05, 2018 anatimiza miaka mitatu tangu kuapishwa kwake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Comments are closed.