LIVE: Pitso Mosimane, Injinia Hersi Wanazungumza na Waandishi wa Habari Kuelekea Siku ya Mwananchi-VIDEO

LEO Agosti 5, 2022 Kocha Pitson Mosimane aliyekua akikinoa kikosi cha timu ya Al Ahly ya Misri amezungumza na wanahabari akiwa na Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said, ambapo kwa pamoja wamefunguka mengi kuelekea siku ya mwananchi..3473
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment