The House of Favourite Newspapers

LIVE: Rais Magufuli Kwenye Maadhimisho ya Nyerere Day – Zanzibar

0

Ikiwa ni miaka 18 tangu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere afariki dunia katika Hospitali ya St Thomas, Londo nchini Uingereza, leo ni Maadhimisho ya Kumbukumbuku ya kifo chake yanayofanyikia leo visiwani Zanzibar ambapo Mgeni Rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

Nyerere alizaliwa Aprili 13, 1922 na kufariki dunia Oktoba 14, 1999.

Endelea kufuatilia maadhimishgo hayo hapa.

Leave A Reply