The House of Favourite Newspapers

Live: Rais Samia Anamuapisha IGP Mpya, Balozi Sirro na Viongozi Wengine Aliowateua-Video

0

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi Luteni Jenerali MATHEW EDWARD MKINGULE, kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia 4. Dkt. SULEIMAN HAJI SULEIMAN kuwa Balozi

Leave A Reply