The House of Favourite Newspapers

FULLTIME: SIMBA 0-1 KAGERA SUGAR, KUTOKA UWANJA WA TAIFA

Dk 90 Mpira umekwisha kwa Simba kupoteza kwa kipigo cha 0-1 dhidi ya  Kager Sugar huku mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akikosa penalti iliopanguliwa na kipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja
Dk 85 GOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk 84 Bado Simba SC 0-0 Kagera Sugar
Dk 74 Kona ya 9 kwa Simba, Kagera wakiwa na kona 1 tu. Inapigwa, Kaseja anaokoa. Mpira unaelekea lango la Simba.
Dk 69 Shiza Kichuya OUT. John Bocco anaingia. Bila shaka, Kocha wa Simba anahitaji matokeo mazuri ya kumridhisha mheshimiwa.
DK 67 Simba SC 0 – 0 Kagera Sugar
Dk 55 Mpira unachezwa zaidi eneo la katikati na Simba wakitawala zaidi lakini mbinu za kufunga ndio zimekuwa hafifu. Simba SC 0 – 0 Kagera Sugar
Dk 52 Kichuyaaaa!! Kaipiga na kugonga mwamba wa kulia wa goli. Beki ya Kagera inaokoa na kuamsha mbele
Dk 53 Kichuya anakosa bao la wazi mpira unagonga chuma la gori na kurudi uwanjanai
Dk ya 49  Simba wanashambulia lango la Kagera
Dk 45  MAPUMZIKO
Dk 43 Kagera wanakosa bao baada ya kupata nafasi
Dk 38 Kagera wanashambulia, mpira unarushwa kuelekea lango la Simba
Dk 33 Mchezo unaendelea wanaendelea kuchezwa
Dk 30 Wachezaji wa timu zote wanaenda kupata maji, joto ni kali sana

Muonekano wa Uwanja wa Taifa mechi ya Simba dhidi ya Kagera Sugar

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Dk 29 Simba wanapiga kona Juma kaseja anafanya yake
Dk 26 Bado Simba 0-0 Kagera, Simba wanaendelea kushambulia kwa kasi
Dk 20 Simba wanapata kona baada ya Faki kutoa mpira nje
Dk 16 Okwi anawekwa chini mpira unapigwa kuelekea Kagera, Okwi anapiga anakosea
Dk 15  Timu zote zinashambuliana kwa zamu huku Kagera wakishambulia lango la Simba
 
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Kagera Sugar, mechi ya Ligi Kuu Bara
1. Said Mohamed
2. Nicholas Gyan
3. Mohamed Hussein
4. James Kotei
5. Paul Bukaba
6. Erasto Nyoni
7. Shomary Kapombe
8. Jonas Mkude
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza Kichuya
Kikosi cha akiba
12. Ally Salim
13. Salim Mbonde
14. Kelvin Faru
15. Mzamiru Yassin
16. Said Ndemla
17. Rashid Juma
18. Moses Kitandu

Comments are closed.