FT: SIMBA 3-3 STAND UNITED, KUTOKA UWANJA WA TAIFA
Dakika ya 94, Mchezaji wa Stand ameumia, mpira umesimama
Dakika ya 90, Zimeongezwa dakika 4 pekee mpira umalizike
Dakika ya 87, Mpira unatoka nje, Stand wanarusha
83′ Kotei anapasiana na Mwinyi sasa
74′ Simba wanafanya mabadiliko, anaingia Kazimoto, anatoka Mzamiru Yassin
66′ Gooooo, Stand wanasawazisha, ni 3-3 sasa
64′ Stand wanashambulia kwa kasi wanapata faulo inapigwa kuelekea Simba eneo la 18
61′ Goooooo, Gyan anaifungia Simba bao la 3, sasa ni 3-2
53′ Free Kiki inapigwa kuelekea eneo la Stand baada ya Gyan kufanyiwa faulo, mpira unapigwa lakini unatoka nje
47′ Simba wanaanza kwa Manula kupiga shuti lakini mpira unatoka nje
Kipindi cha pili kimeshaanza
MAPUMZIKO
Dak ya 45, Dakika mbili zimeongezwa, matokeo ni 2-2
42′ Simba wanapata kona.
Stand wanapata bao la pili, Lulambo anaipatia bao la pili kwa kupiga kona iliyoingia wavuni moja kwa moja.
41′ GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO000
Stand wanaendeleza kasi ya kupambana.
Stand wanapata bao la kwanza, walipiga pasi kadhaa, ikapigwa krosi ikatua kichwani mwa Tariq Seif akamalizia.
36′ GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
34′ Simba wanaonekana kujipanga taratibu.
32′ Kasi ya mchezo imeongezeka, Stamd hawajakata tamaa.
30′ Stand wanafika langoni mwa Simba, wanapiga shuti linatoka nje.
29′ Mchezo unaendelea.
28′ Kwasi yupo chini mchezo umesimama kwa muda.
Nyoni anapiga inaokolewa.
27’ Simba wanapata faulo nje ya lango la Stand.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
22′ Mavugo anautoa mpira, ili kuwa fair play.
Simba wanapiga pasi kadhaa, Kapombe anapiga krosi inayomkuta Laudit Mavugo anafunga kwa urahisi.
18’ Vitalis Mayanga wa Stand anapewa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Asante Kwasi.
Dak ya 18, Vitalis Mayanga wa Stand anapewa kadi ya njano kwa kumfanyia faulo Asante Kwasi
Dak ya 14, Faulo tena inapigwa kueleka lango la Stand, anapiga Erasto
Dak ya 13, Faulo ya Kichuya inatoka nje, matokeo bado ni 1-0, Simba anaongoza
Dak 13, Mzamiru anaenda nje kwa muda kugangwa
Dak ya 12, Mzamiru Yassin anachezewa faulo, mpira unapigwa kuelekea Stand
Dak ya 11. Mzamiru Yassin anapasia na Mkude eneo la katikati
Dak ya 7, Gooooo, Asante kwasi anafunga bao la kwanza
Dak ya 3, Simba wanamiliki mpira kuelekea eneo la kati
Comments are closed.