The House of Favourite Newspapers

Simba Yatangaza Ubingwa VPL

0

MABAO mawili ya John Bocco na Chriss Mugalu kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Coastal Union uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa yametosha kuifanya Simba kutangaza ubingwa baada ya kufikisha alama 79 ambazo hakuna timu yeyote ya ligi inaweza kuzifikisha kwa msimu huu.

Leave A Reply