The House of Favourite Newspapers

VIDEO: ZIARA YA WAZIRI MKUU TANGA

0


Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muunngano Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kikazi mkoani Tanga kwa lengo la kupokea ripoti maalumu ya ukaguzi wa kampuni ya katani.

 

Timu hiyo ya wakaguzi maalumu wamefanikiwa kurudisha baadhi ya mali za kampuni hiyo ambazo watumishi wa mamlaka ya mkonge walijimilikisha mali zikiwemo Nyumba na Mashamba. Katika ziara hiyo Waziri Mkuu ameambatana na Mawaziri mbalimbali wakiwemo waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Wiatara, Waziri wa Maji Juma Aweso na Viongozi wengine wa serikali ya awamu ya Tano.

Leave A Reply