The House of Favourite Newspapers

Liverpool, Barcelona Wakinukisha UEFA, Messi Atupia Hat-Trick

KIVUMBI cha Ligi ya Mab­ingwa Ulaya kimeanza tena, kuanzia jana ku­likuwa na vita kubwa viwanjani ampabo timu ya Liverpool na Barcelona zimeibuka na ushindi (Liverpool 3-2 PSG, Barcelona 4-0 PSV Eindhoven).

Liverpool: Alisson 6.5, Alexander-Arnold 7, Gomez 6.5, Van Dijk 7, Robertson 7, Milner 8.5, Wijnaldum 8, Henderson 8, Salah 6.5 (Shaqiri 85), Sturridge 7 (Firmino 71), Mane 7 (Fabinho 90+3.

 

Subs not used: Mignolet, Keita, Moreno, Matip.

Goals: Sturridge 30, Milner 36, Firmino 90+1

PSG: Areola 7, Meunier 7.5, Kimpembe 6, Thiago Silva 6.5, Bernat 6, Rabiot 5.5, Marquinhos 6, Di Maria 7 (Choupo-Moting 79), Mbappe 7.5, Cavani (Draxler 79) 5, Neymar 6

 

Subs not used: Cibois, Kehrer, Diarra, Nkunku, N’Soki.

Goals: Meunier 40, Mbappe 82

Leo kutakuwa na kipute cha heshi­ma ambapo wabishi kwenye Ligi Kuu ya England kwa sasa Manchester Unit­ed watakuwa uwanjani kuvaana na Young Boys.

 

Hii ni mechi nyingine kali baada ya jana kushuhudia kipute kingine kwenye michezo kadhaa iliyopigwa.

Man United ambao hawajaanza vi­zuri kwenye Ligi Kuu England wana­takiwa kuhakikisha kuwa wanafanya vizuri kwenye mchezo huu wa leo saa 4:00 usiku.

United ni kama wamepata ratiba mchekea, kwa kuwa wanakutana na timu ambayo haina uzoefu kabisa kwenye michuano mikubwa kama hii ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

Katika rekodi ya timu hizo hazija­wahi kukutana kwenye michuano hii, lakini hii ikiwa mara ya kwanza kwa vijana hao wa Uswisi kufika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

Lakini mbali na uchanga huo pia timu hiyo haina rekodi nzuri kila inapokutana na timu kutoka England kwa kuwa kwenye historia yake im­

Matokeo kamili ya mechi za Jumanne jana 18 Septemba 2018

  • Barcelona 4-0 PSV Eindhoven
  • Inter Milan 2-1 Tottenham
  • Club Brugge 0-1 Borussia Dortmund
  • Monaco 1-2 Atletico Madrid
  • Red Star Belgrade 0-0 Napoli
  • Liverpool 3-2 Paris Saint Germain
  • Schalke 1-1 FC Porto
  • Galatasaray 3-0 Lokomotiv Moscow

Comments are closed.