The House of Favourite Newspapers

LULU AANDIKA UJUMBE MZITO, AMLILIA MUNGU!

Nyota wa Filamu za Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa mara ya kwanza ameandika ujumbe mzito wa shukrani kwa MUNGU na kwa waliochukua muda kumuombea katika kipindi kigumu alichopitia wakati akiwa gerezani kabla ya kumaliza kifungo chake Novemba 12, 2018.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ameweka post za picha zenye maandishi yenye ujumbe huo.

 

NABII Shillah Afunguka Mazito/Ataja Watu Waajabu Wanamfuatilia

Comments are closed.