The House of Favourite Newspapers

Lulu: Ndoa Tamu Sana, Ajiachia Insta!

0

ELIZABETH Michael almaarufu Lulu au Mama G; ni mwanamama wa Bongo Movies na mjasiriamali ambaye ametrendi kutokana na Wimbo wa Nawaza wa Diamond Platnumz.

 

Kwenye wimbo huo, Diamond anasema anawaza siku zikivuja video za Rayvany na Lulu hajui ndoa itakuwaje; inafahamika mwenye ndoa hapo ni Lulu ambaye ameolewa na Majizzo.

 

Kupitia yule msanii wa muziki anayewakawaka taa, Lulu ameposti video ya msanii huyo akiimba remix ya Wimbo wa Beer Tamu wa Marioo, lakini sehemu ya bia ameweka neno ndoa.

 

Baadhi ya wafuatiliaji wa mambo ya watu wanadai kuwa hiyo ni namna ya Lulu ya kuwajibu wale wote walioamini kuwa wimbo huo utaitikisa ndoa yake.

STORI; IJUMAA WIKIENDA, DAR

Leave A Reply