The House of Favourite Newspapers

Lupita Nyon’go Awashukuru Wakenya kwa Kumchagua Baba Yake

0
Lupita Nyon’go

MUIGIZAJI wakike Lupita Nyon’go mwenye tuzo ya Oscar, amempongeza baba yake na wapiga kura wa mji wa Kisumu kwa kumchagua baba yake kwa muhula wa pili na wa mwisho kuwa Gavana wa kaunti ya Kisumu nchini Kenya.

 

Baba yake Lupita Nyon’go anaejulikana kwa majina Anyang Nyong’o alitangazwa mshindi Jumatano baada ya kura za uchaguzi mkuu Kenya zilizo fanyika Jumanne Agosti 9 mwaka huu.

Anyang Nyong’o, Baba wa Lupita

Lupita Nyong’o, ambaye alieshinda tuzo kubwa za uigizaji duniani za Oscar kutokana na filamu iitwayo 12 years a slave aliwashukuru watu wa Kisumu kwa msaada wao mkubwa kwa baba yake kwenye uchaguzi huo.

 

Imeandikwa: Peter Nnally kwa msaada wa mitandao

Leave A Reply