The House of Favourite Newspapers

Ma-DC Wastaafu Wajiunga Pspf, JPM Awapongeza Kwa Kujipanga Kimaisha

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George Simbachawene, (kulia), akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwenyekiti wa Wakuu wa Wilaya Wastaafu, Ramadhan Maneno, mara baada ya kufungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wakuu hao, iliyoandaliwa na PSPF jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2016. Waziri Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George Simbachawene, (kulia), akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Jackline Liana, mara baada ya kufungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wakuu hao, iliyoandaliwa na PSPF jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2016. Waziri Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi
 Waziri Simbachawene akitoa hotuba yake
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George Simbachawene, (kulia),akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Gerald Guninita, mara baada ya kufungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wakuu hao, iliyoandaliwa na PSPF jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2016. Waziri Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, akitoa hotuba yake
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba yake kuelezea huduma na fursa mbalimbali zilizopo kwenye Mfuko, wakati wa Mafunzo hayo
 Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, (TAKUKURU), Dkt. Edward Hosea, ambaye pia ni Mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo kwa wakuu wa wilaya wastaafu.
 Baadhi ya washiriki
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF, akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji kupitia mpango wa PSS
 Maafisa wa PSPF, wakifuatilia mafunzo hayo
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, (kulia), akiongozana na Meneja Masoko, na Mawasiliano wa PSPF, Costantina Martin, wakati wa mapumziko
Waziri Simbachawene akitoa hotuba yake

 

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George Simbachawene, (katikati), akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Katibu wa Wakuu wa  Wilaya Mstaafu, Betty Mkwasa,  mara baada ya kufungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wakuu hao, iliyoandaliwa na PSPF jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2016. Waziri Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George Simbachawene, (kulia), akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Fatma Salum Ally, mara baada ya kufungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wakuu hao, iliyoandaliwa na PSPF jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2016. Waziri Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi
 Mkuu wa wilaya mstaafu Manju Msambya, akitoa neno la shukrani
 Waziri Simbachawene, akkimsikiliza aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita, Manzie Omar Mangochie(kulia)
 Washiriki wakifuatilia kwa kusoma vipeperushi na kusikiliza

 Waziriwa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George Simbachawene, (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kufungua mafunzo ya siku mbili kwa wakuu wa wilaya wastaafu iliyoandaliwa na PSPF na kufanyika Agosti 15, 2016. Waziri Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Wenine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu Kijaji,Mwenyekiti wa Wakuu haoi wa Wilaya wastaafu, Ramadhan Maneno, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF, George Yambesi, na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George
Simbachawene, (kulia), Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu Kijaji,
(katikati), wakionyesha fomu za kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kupitia
mpango wa uchangiaji wa Hiari, (PSS), mara baada ya waziri kufungua mafunzo ya
siku mbili kwa Wakuu wa Wilaya wastaafu, na Wanachama wastaafu wa Mfuko jijin
Dar es Salaam, jana Agosti 15, 2016. Wazuru alimwakilisha Rais John Magufuli
kufungua mafunzo hayo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam MayinguMtaalamu wa Saikolojia Dkt. Chris Mauki, akitoa mada juu ya kudhibiti Stress Picha ya pamoja na viongozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Picha ya pamoja ya mgeni rasmi, viongozi wa PSPF, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na kamati tendaji ya wakuu wa wilaya wastaafu Wakurugeni wa PSPF Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji, Beng’ Issa, akitoa mada juu ya fursa zilizopo za uwezeshaji kwa watanzaniaWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), George Simbachawene, (kulia), akifurahia jambo baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kupitia Mpango wa Uchangiaji wa Hiari, (PSS), kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi. Waziri Simbachawene, alijiunga na Mfuko huo mara baada ya kufungua mafunzo ya siku mbili ya ujasiriamali kwa wakuu wa wilaya wastaafu na maafisa wastaafu wa serikali kwa niaba ya Rais John Magufuli jijini Dar es Salaam Agosti 15, 2016.

Dkt. Kijaji akiteta jambo na Mkuu wa wilaya mstaafu, Betty Mkwasa

Leave A Reply