The House of Favourite Newspapers

MAAJABU! Mtoto wa Miaka ‘5’ Apata HEDHI, Mama Asimulia Mazito! – VIDEO

Ama kweli mambo ya kushangaza ni mengi duniani hata ukisikia mtoto wa kike wa miaka mitano anapata hedhi kila mwezi utastaajabu.

Mama mzazi wa mtoto huyo mkazi wa Dodoma anasimulia jinsi mwanaye huyo alivyoanza kuona siku zake.

Comments are closed.