Maajabu ya Huddah Kwenye Shoo ya Harmonize Dar Live- Video

MASTAA 12 akiwemo Ben Pol, Nyandu Toz, Dulla Makabila, Rommy Jones, Huddah Monroe ‘The Boss Chick ‘ Chin Bees pamoja na Queen Darleen walimmsindikiza staa mwenzao kunako Muziki wa Bongo Fleva, Harmonize katika shoo ya Sikukuu ya Idd Pili, usiku wa kuamkia jana ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

 

Mtangazaji wa shoo nzima ni mwanadada kutoka Kenya, Huddah alifanya maajabu makubwa stejini wakati shoo hiyo ikiendelea, cheki mwenyewe hapa.


Loading...

Toa comment