The House of Favourite Newspapers

Mabadiliko ya Ratiba NBC Premier League 2022/2023

0

Shirkisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ambalo awali lilikuwa Chama cha Soka Tanzania (FAT), ndicho chombo kinachosimamia soka nchini Tanzania na husimamia timu za Taifa za soka za Tanzania.

Shirikisho hilo Ilianzishwa mnamo 1930 na inahusishwa na FIFA tangu 1964. Shirikisho hilo lilianzishwa kama Chama cha Soka Tanganyika (TFA).

Baadaye kilibadilishwa jina na kuitwa Chama cha Soka Tanzania (FAT) mwaka 1971 baada ya marekebisho makubwa ya Katiba yake.

FAT ilikuwepo hadi mwaka 2004 jina jipya la TFF lilipoanza kutumika baada ya Mkutano Mkuu wa chombo hicho uliofanyika tarehe 27 December mwaka huo huo.Mabadiliko NBC Tanzania Premier League, mabadiliko NBC Tanzania Premier League 2022/2023, mabadiliko NBC Premier League.

Katiba ya sasa ya TFF ilianza kutumika tarehe 15 January 2006 kufuatia Mkutano Mkuu uliofanyika Dar es Salaam tarehe 14 na 15 January 2006.

Kwa sasa, Wallace Karia ndiye Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), akirithi nafasi ya Jamal Malinzi August 2017.mabadiliko Ligi kuu Tanzania, mabadiliko Ya Ligi Kuu Tanzania,NBC Premier League 2022/23,mabadiliko NBC Tanzania Premier League 2022/2023.

TFF inazidi kujengewa uwezo chini ya uongozi wake kwa kuwa anaamini ndiyo vichochezi vya ajenda za maendeleo.

Mchezo nambari 35 Kati ya KMC FC dhidi ya Mtibwa Sugar FC uliopangwa kuchezwa September 27, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Uhuru uliopo Jijini Dar es Salaam, sasa utachezwa October 15, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja huo huo wa Uhuru uliopo Jijini Dar es Salaam.

Mchezo nambari 33 Kati ya Ruvu Shooting FC dhidi ya Coastal Union FC
uliopangwa kuchezwa September 26, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Uhuru uliopo Jijini Dar es Salaam, sasa utachezwa September 29, 2022 saa 10:00 alasiri katika uwanja huo huo wa Uhuru uliopo Jijini Dar es Salaam.

Mchezo nambari 34 Kati ya Polisi Tanzania FC dhidi ya Namungo FC uliopangwa kuchezwa September 27, 2022 saa 8:00 mchana katika uwanja wa Ushirika uliopo Mkoani Kilimanjaro, sasa utachezwa October 19, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Sheikh Amri Abed uliopo Jijini Arusha.

Mchezo nambari 38 Kati ya Ihefu SC dhidi ya Young Africans SC uliopangwa
kuchezwa September 29, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Highland Estate. uliopo Jijini Mbeya, sasa utachezwa Novemba 29, 2022 saa 10:00 alasiri katika uwanja wa Highland Estate uliopo Jijini Mbeya.

Mchezo nambari 36 Kati ya Kagera Sugar FC dhidi ya Singida Big Stars FC uliopangwa kuchezwa September 28, 2022 saa 8:00 mchana katika Uwanja wa CCM Kirumba uliopo Jijini Mwanza, sasa utachezwa October 21, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Kaitaba uliopo Mkoani Kagera.

Mchezo nambari 37 Kati ya Mbeya City FC dhidi ya Simba SC uliopangwa
kuchezwa September 28, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Sokoine uliopo Mbeya, sasa utachezwa November 23, 2022 saa 10:00 alasiri katika uwanja huo huo wa Sokoine uliopo Jijini Mbeya.

Leave A Reply