The House of Favourite Newspapers

Machupa Apagawisha Wakazi wa Boko Tamasha la Mziki Mnene

0

mnene_01Muziki wa Singeli haubagui umri kama wapenzi hao wa muziki walivyokutwa wakisakata  kwa hisia muziki wa Singeli  kwenye tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo lililoanza jijini Dar  es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki, litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.

mnene_02Wakazi wa Boko jijini Dar es Salaam wakihangaika kucheza muziki wa Singeli kwenye tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo lililoanza jijini Dar  es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki, litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam

mnene_03Msaanii wa Muziki wa Singeli, Machupa akikonga mioyo ya wapenzi wa muziki huo kwenye tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo lililoanza jijini Dar  es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki, litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.

mnene_04Wapenzi wa muziki wakiwa sambamba na Msanii wa Muziki wa Singeli, Machupa kwenye tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo lililoanza jijini Dar  es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki, litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.

mnene_05Wakazi wa Dar es Salaam wakionyesha ujuzi wa kucheza muziki wa Singeli kwenye  tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo lililoanza jijini Dar  es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki, litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.

Leave A Reply