The House of Favourite Newspapers

Madam Rita Amtaka Master J Arejeshe Rasta

0

MWANAMAMAanayeongoza jahazi la Shindano la Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam’, amemtaka jaji mwenzake ambaye ni prodyuza mkali Bongo, Joachim Kimaryo ‘Master Jay’ kurejesha zile rasta zake kwa madai kwamba huwenda zikamuongezea uwezo zaidi wa kufikiri.

Akizungumza na Gazeti la IJUMAA WIKIENDA wakati washiriki wakiendelea na mchakato kwenye kambi yao katika Ukumbi wa Next Door Arena, Masaki jijini Dar, wikiendi iliyopita, Madam anasema kuwa, anaona tangu Master J anyoe zile rasta zake, hata washiriki waimbe vizuri kiasi gani, anaona hawajaimba vizuri, jambo ambalo huwenda linasababishwa na kunyoa kwake.“

 

Nimeshamuomba Master J arejeshe zile rasta huwenda akarudi kwenye ubora wake wa kuwajaji washiriki,” anasema Madam Rita.Master J alinyoa zile rasta zake za miaka mingi baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge kwenye Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro ambapo wajumbe walifanya

Leave A Reply