The House of Favourite Newspapers

Madenti ‘wagombea’ kupiga picha na Shigongo

0

????????????????????????????????????Shigongo akiwahutubia wahitimu hao.

????????????????????????????????????

Baadhi ya wahitimu hao wakiwa ukumbini hapo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo (katikati) akiwapa wanafunzi mawasiliano yake ya simu baada ya kuhitimisha mafunzo hayo.

????????????????????????????????????

Wahitimu wakiendelea kuandika mawasiliano yake.

…Wakimuuliza mambo mbalimbali mkurugenzi huyo.

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????

Baadhi ya wanafunzi wakipata fursa ya kupiga naye picha.

????????????????????????????????????

NA DENIS MTIMA/GPL

WAHITIMU mbalimbali wa kidato cha sita nchini walijitokeza kwa wingi jana Jumapili katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na kuonekana kupigana vikumbo ili kupiga picha na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo.
Tukio hilo lilikuwa ni baada ya mafunzo na maelekezo maalum kwa wanafunzi hao kutoka kwa wahamasishaji na wataalam mbalimbali yaliyokuwa yakilenga kuwaandaa wanafunzi hao pindi wanapokwenda kuendelea na elimu yao ya chuo kikuu.
Miongoni mwa wazungumzaji waliohitimisha mafunzo hayo walikuwa ni Prof. Kitila Mkumbo, Ofisa Mwandamizi wa Habari Elimu na Mawasiliano kutoka Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu, Veneranda Malima, Dkt. Harun Nyagori kutoka Hospitali ya Rufaa ya Morogoro, Omega Ngole kutoka Bodi ya Mikopo na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo.

Leave A Reply