The House of Favourite Newspapers

Madereva Waliotekwa Congo Na Waasi Wawasili Nchini

madereva-tekwa-1-001Mmoja wa ndugu akilia baada ya kumuona mtoto wake ambaye alikuwa miongoni mwa madereva waliotekwa na waasi wa Maimai.

madereva-tekwa-2-001Mmoja wa madereva aliyetekwa akisalimiana na mkewe na mama yake mzazi.madereva-tekwa-3-001Dereva aliyetekwa akisalimiana na rafiki, ndugu na jamaa zake baada ya kuwasili nchini.madereva-tekwa-4-001 madereva-tekwa-5-001Mmoja wa madereva aliyetekwa akilia kwa uchungu baada ya kukutana na ndugu zake.madereva-tekwa-6-001Baadhi ya madereva wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zao.madereva-tekwa-11-001 madereva-tekwa-12-001Madereva na makondakta wao wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Saalam.madereva-tekwa-13-001Baadhi ya ndugu wakitoa machozi baada ya kuwaona ndugu zao waliotekwa na waasi wa Maimai kabla ya kukombolewa na vikosi vya wanajeshi wa Congo.

Comments are closed.