The House of Favourite Newspapers

Madrid ikiwa ugenini yainyuka Barca 2-1

0

32C7F08D00000578-3520719-image-a-39_1459627203058

Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema akishangilia bao la kwanza aliloipatia timu yake dhidi ya Barcelona katika mchezo wa Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’ uliopigwa jana Jumamosi kwenye Uwanja Nou Camp.

32C7EF7000000578-3520719-image-a-37_1459627196271

Benzema akifunga kiufundi.

32C7C07E00000578-3520719-image-m-20_1459624574745

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) akimtoka beki wa Real Madrid, Sergio Ramos. 

32C7C39400000578-3520719-image-a-14_1459624172985

Beki wa Barcelona, Xavier Mascherano (chini) akimkwatua mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale.

32C7A87000000578-3520719-image-m-18_1459624193030

Beki wa Barcelona, Dani Alves (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo.

32C79B3D00000578-3520719-image-a-6_1459624160940

Messi (kushoto) akipeana mkono na Ronaldo kabla ya mchezo huo kuanza.

32C7E61B00000578-3520719-image-a-27_1459626473581

Messi (kushoto) akimtoka kiungo wa Madrid, Toni Kroos katika mchezo huo wa jana.

32C808B100000578-3520719-image-a-41_1459628357933

Ronaldo (katikati) akifunga bao la pili lililoizamisha Barcelona na kuifanya Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Leave A Reply