The House of Favourite Newspapers

Maelfu waandamana mjini London kuunga mkono Wapalestina.

0

Maelfu ya waandamanaji wamefurika jijini London nchini Uingereza Jumamosi iliyopita, wakitaka Israel isitishe mashambulizi katika Ukanda wa Gaza.

Maandamano hayo yamekuja muda mfupi baada ya Israel kushambulia kwa makombora Ukanda wa Gaza katika oparesheni yake dhidi ya wapiganaji wa Hamas.

Kwa upande mwingine, maandamano hayo yamekuja huku Waziri Antony Blinken akikutana na mawaziri kadhaa kutoka nchi za Uarabuni nchini Jordan, kujadiliana namna ya kuzuia vita

Leave A Reply