The House of Favourite Newspapers

Maestro: Aziz Ki Anaondoka Yanga, Wafanye Nini Kumbakiza Msimu Ujao – Video

0


“Stephanie Aziz Ki unaweza kuona ni mchezaji ambaye mara kadhaa amekuwa akipoteza mipira uwanjani, lakini ni miongoni mwa wachezaji bora kwenye kutumia nafasi chache ambazo zinatokea.

“Kwa maoni yangu lile ni goli na Yanga wameibiwa, nilirudia tena na tena kutazama tukio lile na ule mpira ulidundia ndani, sijui watu wa VAR wanataka kufanya nini na kuna wakati mkubwa ukikosea unachutama. Tukubali waamuzi wamekosea,” Ibrahim Maestro @maestro_ibrahim mchambuzi wa michezo akizungumza kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Global TV Online kuhusu goli lililokataliwa la Aziz Ki dhidi ya Mamelodi Sundowns.”

Leave A Reply