The House of Favourite Newspapers

Mafuriko Yalivyolikumba Bonde la Mkwajuni, Kinondoni Dar Leo

Taswira ya mafuriko yaliyolikumba eneo la Bonde la Mkwajuni.

Taswira ya mafuriko yaliyolikumba eneo la Bonde la Mkwajuni.

Taswira ya mafuriko yaliyolikumba eneo la Bonda la Mkwajuni.

MAFURIKO makubwa yamelikumba Bonde la Mto Mkwajuni lililoko eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia mvua kubwa iliyonyesha leo kuanzia asubuhi  na kuendelea hadi majira ya saa sita mchana.
Kamera yetu ilifika katika bonde hilo ambalo zamani lililokuwa na watu lukuki wakiishi ndani yake kabla ya  kuondolewa na serikali kwa madai ya kuwa eneo hilo ni hatarishi kwa maisha yao.

Na Denis Mtima/GPL

Comments are closed.