The House of Favourite Newspapers

MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa DSFA na wenyeviti wa bodi za TALIRI na GST. Amemteua Dkt. Islam Seif Salum Mchenga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uvuvi wa Bahari Kuu na uteuzi wake ulianza Desember 1, 2018.

Comments are closed.