Magufuli Ahudhuria Msiba wa Jaji Kisanga Oyster Bay
Rais John Magufuli na mkewe Mama Janeth leo wamefika nyumbani kwa marehemu Jaji Robert Kisanga kutoa pole kutokana na kifo cha jaji huyo kilichotokea Januari 23, mwaka huu katika Hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam. Pia wamepata fursa ya kuuaga mwili huo.
Comments are closed.