The House of Favourite Newspapers

NUSU UKWELI NUSU UTANI: UAMUZI WA JPM KWA MUHONGO UNAASHIRIA NINI KWA WATUMISHI? (VIDEO)


NUSU ukweli, nusu utani ni kipindi kipya kabisa ambacho kinaelezea matukio mbalimbali yaliyowahi kutokea nchini, zikiwemo hotuba za viongzozi mbalimbali na kisha kukuchambulia kwa kina katika staili itakayokuacha ukitabasamu.

Kumbuka kipindi hiki hakilengi kumchafua yeyote bali ni utani na manjonjo ya mtangazaji kwenye matukio halisi, lakini uwasilishaji unajikita kwenye ucheshi ingawa ujumbe unakuwa umefika, live bila chenga.

Comments are closed.