The House of Favourite Newspapers

Magufuli aimaliza Iringa, aianza Dodoma kwa kishindo

0

baadhi ya wakazi wa kijiji cha Chipogoro wakisikiliza sera za magufuli (hayupo pichani)

Mafuriko ya wananchi katika Kijiji cha Mvumi, Jimbo la Mtera yakimsiliza Magufuli alipokuwa akimwaga sera.

magufuli akibadilisha mawazo na mgombea Ubunge wa jimbo la Isimani, William Lukuvi.

Magufuli akibadilisha mawazo na mgombea Ubunge wa jimbo la Isimani, William Lukuvi.

Magufuli akiongea na wakazi wa kijiji cha Pawaga.

mgombea ubunge wa jimbo la Isimani William Lukuvi akiongea na wakazi wa Kijiji cha Pawaga jimbo la Isimani, Iringa.

Mgombea ubunge wa jimbo la Isimani William Lukuvi akiongea na wakazi wa Kijiji cha Pawaga jimbo la Isimani, Iringa.

Mzee John Malechela alitumia zaidi ya dakika 20 kuwaeleza umuhimu wa kumchagua magufuli kwa ajili ya maendeleo ya taifa hili

RPC wa Iringa, Ramadhan Mungi akiongea na wanahabari juu ya  watu waliofanya vurugu mjini iringa jana, ambapo watu 62 akiwemo Mgombea Ubunge kupitia

RPC wa Iringa, Ramadhan Mungi akiongea na wanahabari juu ya watu waliofanya vurugu mjini iringa jana, ambapo watu 62 akiwemo Mgombea Ubunge kupitia

RPC wa Iringa, Ramadhan Mungi akiongea na wanahabari juu ya  watu waliofanya vurugu mjini iringa jana, ambapo watu 62 akiwemo Mgombea Ubunge kupitia[1]

RPC wa Iringa, Ramadhan Mungi akiongea na wanahabari juu ya watu waliofanya vurugu mjini iringa jana, ambapo watu 62 akiwemo Mgombea Ubunge kupitia[1]

umati mkubwa ulijitokeza kwenye viwanja vya shule ya msingi mvumi ukiwa tayari kusikiliza sera za magufuli

Umati mkubwa ulijitokeza kwenye viwanja vya shule ya msingi mvumi ukiwa tayari kusikiliza sera za magufuli

wakazi wa kijiji cha Chipogoro, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Magufuli (1)

Wakazi wa kijiji cha Chipogoro, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Magufuli 

wakazi wa kijiji cha Chipogoro, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Magufuli (2)

Wakazi wa kijiji cha Chipogoro, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Magufuli.

wakazi wa kijiji cha migori wakiwa tayari kusikiliza sera za magufuli. wakazi wa kijiji cha Pawaga Jimbo la Isimani, wakiwa tayari kumsiliza Magufuli

Wakazi wa kijiji cha Pawaga Jimbo la Isimani, wakiwa tayari kumsiliza Magufuli

Mgombea urais wa CCM, John Magufuli, leo alimalizia kampeni yake mkoani Iringa kwa kufanya mkutano uliohudhuliwa na umati mkubwa katika Kijiji cha Pawaga Jimbo la Isimani mkoani hapo.

 Baada ya mkutano huo uliohudhiliwa na maelfu ya wakazi wa kijiji hicho na vijiji jirani Magufuli alimwaga sera na kisha kuomba kura kwa wakazi hao. Baada ya kutoka kijiji hicho Magufuli alisonga mpaka mkoani Dodoma na kupokelewa na maelfu ya wananchi waliokuwa wakimsubili katika Kijiji cha Migori Jimbo la Kibakwe ambapo wakazi hao walionesha furaha na matumaini baada ya Magufuli kuwaahidi serikali yake kutoa elimu bure elimu bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne pamoja na kuwaboreshea barabara zinazoingia na kutokea kijijini hapo. Kwa leo Mafuguli alimazia kampeni zake katika Kijiji cha Mvumi ambapo Magufuli alipokelewa na mafuriko ya wakazi wa kijijini hapo walioongozwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtera Livingstone Lusinde na Makamu wa Rais Mstaafu, John Malechela. Kampeni hizo zinatarajia kuendelea kesho mkoani Dodoma.

HABARI/ PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /GPL

Leave A Reply