The House of Favourite Newspapers

MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA SAUZI, THABO MBEKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Novemba 28, 2018.

 

Magufuli akizungumza na Astrup alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Magufuli akizungumza na Astrup na viongozi wengine.

 

Magufuli akimkabidhi zawadi Waziri Astrup kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yamehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Afrika Mashariki, Dkt.Damasi Ndumbaro, Naibu Waziri wa Kilimo ,Omary Mgumba na Balozi wa Norway nchini Elisaberth Jacobsen.

 

Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Astrup, Dkt.Damasi Ndumbaro, Omary Mgumba  na Elisaberth Jacobsen na viongozi wengine.

 

Rais Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Astrup, Dkt. Ndumbaro, Mgumba na Balozi wa Norway nchini Elisaberth Jacobsen.

 

Picha namba 11 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu(watatu kutoka kushoto) kutoka kulia kwa mhe.Rais Magufuli ni Bw.Barrister Akere Muna,Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Dkt.Damas Ndumbaro,Bi Mojanko Gumbi (Wapili kutoka kulia )Wakili wa Mhe.Thabo Mbeki, na Balozi Zuhura Bundala (wakwanza kutoka kushoto) Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018

 

Rais Magufuli akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kumaliza mazungumzo na Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki Mwenyekiti wa Jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha Haramu.

 

Rais Magufuli akimpongeza Thabo Mbeki.

 

Rais Magufuli akiagana na Barrister Akere Muna aliyeambatana na Thabo Mbeki Ikulu Jijini Dar es salaam leo Novemba 28,2018. (PICHA NA IKULU).

Comments are closed.