The House of Favourite Newspapers

Magufuli Amaliza Ziara Zimbabwe, Awasili Nchini – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli arejea nchini Tanzania akitokea Zimbabwe alikokuwa kwa ziara ya siku mbili baada ya kupata mwaliko wa rais wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa.

 

Magufuli aliondoka nchini wiki iliyopita kwenda Afrika Kusini kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa, na baada ya hapo alielekea namibia kwa ziara ya siku mbili kabla ya kutua Zimbabwe.

 

Magufuli amepokelewa leo na viongozi mbalimbali wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Comments are closed.