The House of Favourite Newspapers

Magufuli Ashiriki Misa Kigango Cha Mlimani, Chato (Picha + Video)

Rais John Magufuli akishiriki misa Parokia  ya Mlimani Wilaya ya Chato,  Geita, leo.
…Akisali.
…Akipiga makofi baada ya mahubiri kutoka kwa Padri Alex Bulandi.

 

…Akimshukuru Padri Bulandi baada ya kuwasalimia waumini.

 

…Akiagana na viongozi wa kanisa.

RAIS John Magufuli leo amehudhuria misa katika Kanisa la Parokia ya Mlimani, Wilaya ya Chato, Getita, ambako alipongeza maendeleo yaliyopatikana katika kanisa hilo kutoka hadhi ya kigango na kuwa parokia.

 

Comments are closed.