The House of Favourite Newspapers

Magufuli Akutana na Vigogo wa Barrick

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs, Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 20, 2019.

Comments are closed.