The House of Favourite Newspapers

MAHAKAMANI: POLISI ‘WAWAZIBA MIDOMO’ MBOWE NA WENZAKE – VIDEO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho, akiwemo Katibu Mkuu, Vincent Mashinji, Godbless Lema, wamefika mahakamani leo kusikiliza muendelezo wa kesi yao.

 

Wakiwa mahakamani hapo Mbowe amedai polisi wamewazuia kuzungumza na waandishi wa habari (‘kuwaziba midomo’) huku akilalamikia jeshi hilo kuwa linatumia vibaya mamlaka yake kwani ni haki ya kila Mtanzania kupata habari.

MSIKIE MBOWE AKIFUNGUKA

Comments are closed.