The House of Favourite Newspapers

MAJALIWA ASHIRIKI DUA YA KUMSHUKURU MUNGU MKESHA WA MWAKA MPYA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa , mkesha wa mwaka  mpya  kushiriki katika   Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba Mungu aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa mkesha wa mwaka mpya, kushiriki katika Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama saa wakati alipojumuika na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa mkesha wa mwaka mpya kushiriki katika Dua ya  kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba Mungu aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa , mkesha wa mwaka  mpya  kushiriki katika   Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba Mungu aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019. 

Comments are closed.