The House of Favourite Newspapers

Majaliwa Atoa Pole Kwa Familia ya Mkuu Wa Majeshi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo wakati alipokwenda kuhani msiba wa mtoto wake, Nelson Mabeyo, Msasani jijini Der es Salaam, leo Septemba 24, 2019. Nelson alifariki jana kwa ajali ya ndege.
…Akitia saini kitabu cha maombolezo.
…Akimpa pole, Tina Mabeyo, mke wa Venance Mabeyo.

 

 

 

 

…Akiwa na Kulia ni Jaji Mkuu waTanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma (kulia) na  Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue (kushoto).              (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments are closed.