The House of Favourite Newspapers

Majambazi Wanne Wauawa Lindi

0

 


JESHI la Polisi mkoani Lindi, limefanikiwa kuwaua watu wanne kati ya sita wanaosadikika kuwa ni majambazi, kufuatia majibizano ya risasi katika eneo la Nanganga station wakielekea wilaya ya Ruangwa baada ya kufanya matukio ya ujambazi katika wilaya za Liwale na Nachingwea.

Leave A Reply