The House of Favourite Newspapers

Ridhiwani Afanya Ziara Tarafa ya Miono, Asikiliza Kero za Wananchi

0
Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mhe. Ridhiwan Kikwete (katikati) akizungumza na wananchi wa Jimbo lake wa Tarafa ya Miono,Chalinze.
Mmoja wa wananchi wa Jimbo la Chalinze Tarafa ya Miono,akichangia mada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea hususani namna ya kukuza maendeleo katika eneo lao.
Meza kuu ikiandika mapendekezo ya wananchi yaliyokuwa yakiwasilishwa.
Mwananchi mwingine akichangia mada namna ya kukuza maendeleo katika Tarafa yao ya Miono.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria Mkutano wa Mbunge, Mhe. Ridhiwani Kikwete wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mhe. Ridhiwan Kikwete jana Agosti 6, 2021 ameendelea na ziara yake katika Tarafa ya Miono kwa kufanya mikutano na Wananchi kuzungumzia maendeleo ya maeneo yao na namna bora ya kuyaendeleza ambapo pia alipata fursa ya kuwashauri wananchi namna kuchukua tahadhari zinazotolewa na Wizara ya Afya ya kujikinga na Ugonjwa wa Corona ikiwemo kupata Chanjo ili kujikinga na Covid 19. #KaziIendelee #ChalinzeIendelee

Leave A Reply